FT: Simba 2-0 Nyasa Big Bullets (Agg 4-0) | CAF Champions League | Mkapa Stadium

FT: Simba 2-0 Nyasa Big Bullets (Agg 4-0) | CAF Champions League | Mkapa Stadium

Makolo kama makolo .....

Mjitahidi sasa October 23, mpate hata sare
 
Kusema kweli huyu Kibu D tunamvumilia sana ila hana kiwango cha kuichezea Simba. Zaidi ya kutumia nguvu nyingi na kukimbia uwanja mzima huwa sioni kingine cha maana kinachosababisha abaki Simba tena anapata namba first team
Tuwe fair, Kibu ameibeba sana Simba mechi mbili zilizopita, Ya hawa Bullets kule Malawi na ya Prisons. Tusiwe wepesi kusahau mchango wa mchezaji
 
Back
Top Bottom