Mechi mbili zilizopita wala sio historia, Hapa yaani nazungumzia mechi mbili ndani ya siku saba tu zilizopita, assist ya vichwa vya Kibu zilizaa bao la kwanza la kule Malawi dhidi ya Bullets, na bao pekee dakika za mwisho hapo Mbeya dhidi ya PrisonsTusiogope kuambiana ukweli sababu ya historia mkuu. Kumbuka haya mashindano ni ya mtoano yanahitaji ubora wa mchezaji kila anapohitajika uwanjani.
Kibu ni mzuri lakini anafanya makosa mengi sana uwanjani kabla hajafanya moja zuri.
Mi ki ukweli sipendi.kuwasema au kuwalaumu wachezaji labda wafanye makosa ya kipumbavu sana.Mechi mbili zilizopita wala sio historia, Hapa yaani nazungumzia mechi mbili ndani ya siku saba tu zilizopita, assist ya vichwa vya Kibu zilizaa bao la kwanza la kule Malawi dhidi ya Bullets, na bao pekee dakika za mwisho hapo Mbeya dhidi ya Prisons
Nyie mnatolewa kamasi na kmc?kwenye nbc league mechi zenu zote mbili za mwisho ilifanywa mkabebwabebwa na waamuziSafari hii itakuwa ni Pep wa TZ dhidi ya Prof wa kubambambikwa. Msitengemee advantage ya upangaji mbovu wa timu kama ilivyokuwa ngao ya jamii.
Akiingia then msilalamike Chama kutolewaMhhh why? Kwanini okwa haiingii?
Mimi Niko poa, nitafute Nina zawadi yako matata sanaNipo mimi za wewe
Usifananishe mechi za kijinga za nbc za mechi za club bingwa..yani sisi tuko kwny mambo ya kuwakilisha taifa unakuja na ref zako za kiutopoloNyie mnatolewa kamasi na kmc?kwenye nbc league mechi zenu zote mbili za mwisho ilifanywa mkabebwabebwa na waamuzi
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mh zawadi matata [emoji848] zawadi za hivyo zinakuwaga zinatisha sana fanya ukuje pmMimi Niko poa, nitafute Nina zawadi yako matata sana
[emoji1787][emoji1787]Manadiliko kwa upamde wa Bullets
kabichi ametoka kaingia Mchicha
Bora Mchicha anaongeza damu..Manadiliko kwa upamde wa Bullets
kabichi ametoka kaingia Mchicha
Amechoka...Chama anapoteza Sana mipira.
😂😂😂Manadiliko kwa upamde wa Bullets
kabichi ametoka kaingia Mchicha
Wale ZALAN hata kwa Gwambina tu hawatoboi, wale wakija kwenye hii ligi yetu wanashuka mpaka daraja la tatu kabisa huko.Wale kule kwao ligi yao ni kama ndondo Cup ya hapa kwetu mkuu hamna kitu mule