Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uto wataanzia home alafu shughuli yao itaishia kwa Eiresalas Mariam Ethiopia au kwa Omari Bashir Sudan.Nani Ataanzia Ugenini?
Mkuu basi nilikua sinywi JD!Kulikuwa na umuhimu gani wa kutudanganya kuwa unakunywa JD? Watu wanagonga vyombo safi kabisa zaidi ya hiyo JD na wametulia tu.Wewe ulikuwa unakunywa K-Vant.Nadhani sasa makasiriko ya matokeo ya Simba yamepungua
Hujui lolote, Yanga inaanzia nyumbani na mechi tunaimaliza hapa hapa nyumbani.Uto wataanzia home alafu shughuli yao itaishia kwa Eiresalas Mariam Ethiopia au kwa Omari Bashir Sudan.
Simba wataanzia Lupaso alafu wanaenda ugenini.
Usitupangie, hata sisi hatuwapingii mnavyomuabudu Chama kama Mungu.Mmekuwa watumwa wa Mayele you praising him to the fullest
No wonder kuona baadhi yenu wamefikia hatua ya kutamani kuwa wanawake ili waolewe na Mayele
Ila nyie mmezidi khaaa yani simba inaangalia wachezaji wote leo atasifiwa okra kesho phir keshokutwa dejan basi safi tuu ila ww sasa ni mayele mayele mbona mm namkubali Feisal anacheza vzr kuliko mayele mbona mmemsahau?Usitupangie, hata sisi hatuwapingii mnavyomuabudu Chama kama Mungu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vipi matokeo unayooooo??? Au ukumbushweee?? PoleeeeeeeehYale ya jwaneng Galaxy yanajirudia leo lazima makolo wafe leo hawataamini
Unateseka ukiwa wapi shougaaaaa angu??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vipi huna furaha na team yako?? Poleeeeee kunywa maji ya uvugu vugu na upumzikeeee.Mashabiki wa simba bhana! Ngoja timu ifanye vibaya sasa!! Kocha Mgunda uwezo wake mdogo!! Wachezaji hawajitumi!! Matola aondoke!! Barbara amuachie Magori nafasi ya U CEO!!
Tunawaangalia tu mnavyo jimwambafai.
Ila wewe hahaaaa. Ila unachelewa sana cku hz humu au una mishe zina kutightUnateseka ukiwa wapi shougaaaaa angu??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vipi huna furaha na team yako?? Poleeeeee kunywa maji ya uvugu vugu na upumzikeeee.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tate Mkuu ataharishaaa kabisaaaaaKuna mtu humu atajinyea sio kwa hasira alizonazo watu wakae mbali nae anaweza rusha ngumi huko huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamna mtu anapata JD akajitangaza,JD ina watu wake bwana ,uto wewe endelea na matapu tapu yako tu[emoji3][emoji3]
Mimi nawaacha na best yako atakujibu kesho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tate Mkuu ataharishaaa kabisaaaaa
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawezi nijibu huyo.Mimi nawaacha na best yako atakujibu kesho
Aseeeeh kuna majukumu yamenibanaaa, ila soon ntakua free mbna mtafurahi humu ndani.Ila wewe hahaaaa. Ila unachelewa sana cku hz humu au una mishe zina kutight
Simba awaya, Yanga home
Hakuna anaye mpraise chama the way mnavyofanya kwa Mayele mpaka mnashusha utu wenuUsitupangie, hata sisi hatuwapingii mnavyomuabudu Chama kama Mungu.
..Usitupangie, hata sisi hatuwapingii mnavyomuabudu Chama kama Mungu.