Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Simba away, Yanga homeNani Ataanzia Ugenini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba away, Yanga homeNani Ataanzia Ugenini?
Zalan inawauma eee ukweli ndo huwa vibondeKama Simba imefungwa na timu kutoka Djibut As Atra inaweza vipi kuifunga Zalaani!!!
Nyie endeleeni kujilinganishq na simba kwa vigoli uchwara vyenu eti ttunawafunga sasa kwa magoli yapi?.hivyo vimoja moja vya kuotea? Tena mna bahati yule kocha mzungu alikua hamtaki Phiri ila mngekung'utwa nyieeeVip nyinyi Simba ambao mna Afya imejaa tele tunavyo wapasua shida inakua ni Nini?
Simba ni vibonde zaidi, siku hizi Mayele anajipigia tu anavyotaka.Zalan inawauma eee ukweli ndo huwa vibonde
Na mlivyofungwa mwanza mzungu alikuwepo!Nyie endeleeni kujilinganishq na simba kwa vigoli uchwara vyenu eti ttunawafunga sasa kwa magoli yapi?.hivyo vimoja moja vya kuotea? Tena mna bahati yule kocha mzungu alikua hamtaki Phiri ila mngekung'utwa nyieee
Walete...walete..Primeiro de Agosto 1 - 1 Red Arrows 31"
(aggregate 2-1)
Yani aiseee akili zenu zimeishia hapa. Scars hawa hawana malengo na kutusua kimataifa malengo yao ya mwaka ni kumfunga simba,malengo ya msimu kumfunga simba,malengo ya milenium kumfunga simba. Hawa sio level zetu tena.Kwakua unaamini kwasasa Simba wako vizuri, tusubiri jumapili tarehe 23 October.
Ndo maana nasema Matola nyie kwa sasa malengo yenu ni kumfunga Simba basi jiandaeni vizuri ili malengo yenu yatimie.Simba ni vibonde zaidi, siku hizi Mayele anajipigia tu anavyotaka.
Zalan na hao vibonde Nyasa Bullets ni pipa na mfuniko.
MnyamaNani Ataanzia Ugenini?
Hilo unalijuwa wewe, Yanga inashiriki club bingwa Kwa sababu ndio mabingwa wa nchi.
Kama mlipigania nafasi 4 mnanufaika wenyewe maana otherwise mwaka huu mngeenda shirikisho direct Tena mngeanzia round ya Pili.
Mi goli moja naona kama ni kubahatisha tuu pale mlibahatisha hata yule Fei hakujua kama atafunga ndo maana alishangaa.Na mlivyofungwa mwanza mzungu
Unaonekana una tatizo la uelewa
Nimekuambia Derby ni mechi ambayo huamuliwa kwa vitu vingi nimekupa na mifano hapo inayoonesha Simba alikuwa na kikosi kizuri na Ya ga mlikuwa wabovu na bado tukapoteza mechi
Nikija kujibu swali lako, ni yeah Simba anakikosi kizuri tena sana tu.
Kama ifatilia ile last Derby walivyotoa linesups kwa timu zote mbili, mimi nilikuwa wakwanza kutabiri Simba kufungwa kwa ile mechi
Wachezaji muhimu walikosekana akiwemo phiri, waliopata nafasi wengine walipangwa katika position ambazo sio mfumo wao
Sub walizofanya zilikuwa za kijinga na ndio maana watu walikuwa wakimlaumu matola.
Hata wewe unaona namna Simba inavyocheza sasa ni tofauti na ile mechi ya Derby ambayo tulicheza
Tukiwafunga mtaanza kuwaita vibonde.Hapa mwendo mmeumaliza, mtarudi Tena shirikisho, tunza hii comment.
Kulikuwa na umuhimu gani wa kutudanganya kuwa unakunywa JD? Watu wanagonga vyombo safi kabisa zaidi ya hiyo JD na wametulia tu.Wewe ulikuwa unakunywa K-Vant.Nadhani sasa makasiriko ya matokeo ya Simba yamepunguaHahaa.. hivi vitu ukoloni hamjavizoea yan JD unaona ni big deal kiasi mtu kusema ni ajabu
Ndio maana Mayele akaamuwa awapige viwili mbele na nyuma ili kumaliza utata na ubishi.Mi goli moja naona kama ni kubahatisha tuu pale mlibahatisha hata yule Fei hakujua kama atafunga ndo maana alishangaa.
Shida yenu ni akili ndogo na huwa siongei hyo lugha unayotumia ww mm najua alifunga sasa huko nyuma na mbele labda mlikua nae mnasaidiana..mnamtukuza mtu hana maajabu yoyote..Mayele ni mtu mdg sana kwa Simba alibahatisha maana kama kufungwa mlianza kubamizwa nyie. Yani sasa hivi mpk mnamuona kama mungu mtu wenu mnasahau mamilioni mlotoa kwa ajili ya Aziz mnamsahau Fei toto yani ujinga mzigo. Kwahyo timu sasa sio Yanga ni mayele?.hya mayele fc endelea na kumbukiziNdio maana Mayele akaamuwa awapige viwili mbele na nyuma ili kumaliza utata na ubishi.
Unaumia ukiwa wapi? Poleeh!Shida yenu ni akili ndogo na huwa siongei hyo lugha unayotumia ww mm najua alifunga sasa huko nyuma na mbele labda mlikua nae mnasaidiana..mnamtukuza mtu hana maajabu yoyote..Mayele ni mtu mdg sana kwa Simba alibahatisha maana kama kufungwa mlianza kubamizwa nyie. Yani sasa hivi mpk mnamuona kama mungu mtu wenu mnasahau mamilioni mlotoa kwa ajili ya Aziz mnamsahau Fei toto yani ujinga mzigo. Kwahyo timu sasa sio Yanga ni mayele?.hya mayele fc endelea na kumbukizi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naomba msamaha chama kwa niaba ya yeyote aliewahi kukufananisha au kukulinganisha na mchezaji yeyote au yeyote aliepata wazo la kukufananisha
Zimbwe jr na manula naweza kuwaingiza katika top ten tz best players
Mmekuwa watumwa wa Mayele you praising him to the fullestSimba ni vibonde zaidi, siku hizi Mayele anajipigia tu anavyotaka.
Zalan na hao vibonde Nyasa Bullets ni pipa na mfuniko.
Yani thamani ya mchezaji aliyenunuliwa kwa zaidi ya milion 400 mnakuja kuridhika kwa kupiga mtu tobo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2361032