Wale Zalan hata sisi tukiungana humu tukatimia 11 tukasema tuache fitna zetu za usimba na uyanga
Mimi nikacheza nafasi ya striker, afu
OKW BOBAN SUNZU akatokea kama Sakho halafu upande wa kushoto akasimama
Matola Eneo la kiungo tukamuweka
Lupweko tukamtafuta
Mshana Jr akasimama golini na vibuyu kadhaa Kisha
Tate Mkuu akacheza fullback
Halafu benchi tukamuweka
ukikaidi utapigwa2 ambaye sub yake itafanyika dakika ya 89 kwa kubadilishana na
Tate Mkuu
Hao Zalan wanatokaje kwa mfumo huo?
Mechi inaisha nimepiga nimepiga hattrick 3 afu sina habari wala sishangilii