OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mzungu anakuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzungu apewe nafasi banaMzungu wamuamini tuu aisee
Hahahha ila kal ujue una uchiziSawa
Vipi ana tachezi za kiufundi?!?!Mzungu anawavua nguo Matola na Mgunda na vikosi vyao vya POSHO za mlango wa nyuma....
Mashabiki wanunue Jersey sasaHaya twende kijiweni sasa na jezi kali zetu
Mkuu si tunacheza mechi ya hadhi ya CL,jana watu walikuwa wanacheza na team ya Ndondo Cup hata wao walijua hilo ndiyo maana walipoozaIla Simba mnapenda kuongea jamani khaa uzi unapeperuka huu unaweza fika elfu leo
Haswaa mkuu Simba nguvu mojaMkuu si tunacheza mechi ya hadhi ya CL,jana watu walikuwa wanacheza na team ya Ndondo Cup hata wao walijua hilo ndiyo maana walipooza
Mkuu mgunda si ndio amemchezeshaMzungu anawavua nguo Matola na Mgunda na vikosi vyao vya POSHO za mlango wa nyuma....