FT: Simba 2-0 Nyasa Big Bullets (Agg 4-0) | CAF Champions League | Mkapa Stadium

FT: Simba 2-0 Nyasa Big Bullets (Agg 4-0) | CAF Champions League | Mkapa Stadium

Sijawahi kuona uzi wa mechi za Simba Sc ukidorora, hii ni ishara ya kwamba Simba Sc haishikiki kwenye mitandao ya kijamii kihalali kabisa.

Tazama wa vyura kama reference.
Screenshot_20220918-175827.jpg
 
Za Mechi dhidi ya team ya Umiseta [emoji848]
Wale Zalan hata sisi tukiungana humu tukatimia 11 tukasema tuache fitna zetu za usimba na uyanga

Mimi nikacheza nafasi ya striker, afu OKW BOBAN SUNZU akatokea kama Sakho halafu upande wa kushoto akasimama Matola Eneo la kiungo tukamuweka Lupweko tukamtafuta Mshana Jr akasimama golini na vibuyu kadhaa Kisha Tate Mkuu akacheza fullback

Halafu benchi tukamuweka ukikaidi utapigwa2 ambaye sub yake itafanyika dakika ya 89 kwa kubadilishana na Tate Mkuu

Hao Zalan wanatokaje kwa mfumo huo?

Mechi inaisha nimepiga nimepiga hattrick 3 afu sina habari wala sishangilii
 
Back
Top Bottom