FT: Simba 2-0 Nyasa Big Bullets (Agg 4-0) | CAF Champions League | Mkapa Stadium

Unateseka ukiwa wapi shougaaaaa angu??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vipi huna furaha na team yako?? Poleeeeee kunywa maji ya uvugu vugu na upumzikeeee.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa unavyomuitaga Shougaaa yako, huwa nacheka sana nikisoma.

Tate Mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naomba unitoe ushamba mkuu

Unieleweshe maana ya derby
 
Mi goli moja naona kama ni kubahatisha tuu pale mlibahatisha hata yule Fei hakujua kama atafunga ndo maana alishangaa.
Na ngao ya jamii nayo tulibahatisha....haya bahatisheni na nyinyi watani[emoji16]
 
Mmekuwa watumwa wa Mayele you praising him to the fullest

No wonder kuona baadhi yenu wamefikia hatua ya kutamani kuwa wanawake ili waolewe na Mayele
Hii clip ya jamaa akitaka kumpa mayele kalio lake nnayo jioni naipandisha humu
 
Huyu Moses Phiri kashanishinda tabia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…