FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

Vibonde wamekutana, wydad hata kwao alikuwa anafungika vizuri tu. Sema ndo ivo alikutana na kibonde mwenzie
 
Hata saa mbovu kuna wakati inasema ukweli, haina maana kwamba ni nzima.
Angalia hata market value

Ayoub thamani yake sokoni ni Euro 1.20M
Screenshot_20231219-164623.png


Wakati Diarra ni Uero 200K
Screenshot_20231219-164602.png


Thamani ina determine ubora wa mchezaji
 
Back
Top Bottom