FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

Sasa jamani mi nimesema kipi kibaya? Yani nikiwa na mpenzi ambaye namuona anafaa kuwa mume nisiseme nimechukuliwa tayari?

Kunyang’anywa mchumba kunategemea na mchumba mwenyewe ambaye sijioni namna hiyo.

Yes, ushindi ni motisha.
Haya sema mada ya Leo ni Simba na waarabu ,sitaki kuharibu mada.
Ila Dunia hii ni ngumu sana,Kaa ukijua.

Kocha mwarabu kafufua hamasa ya wachezaji na uongozi,matokeo yakibaki hivi Simba itakua na amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…