900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
Yanga watapigwa 3 keshoHaya matokeo ya leo kesho yatawapa mzuka Yanga nao watashinda
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga watapigwa 3 keshoHaya matokeo ya leo kesho yatawapa mzuka Yanga nao watashinda
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Unaangalia game wapi? Game ikiisha naenda hapo Kilimanjaro Pub.Refa missondo una hatari
Ntakula dada
Hakuna maumivu yoyote zaidi ya kupoteza muda tu hapa JF, tangu lini Binadamu alipangiwa cha kumpatia furaha tokana na kuchukia kitu au kukipenda?Ahsante kunirekebisha kaka
Ila pole sana Kwa maumivu
Wao wanacheza na viande lazima washindeHaya matokeo ya leo kesho yatawapa mzuka Yanga nao watashinda
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Siyo kama yule diara mdaka upepoMdaka Panzi leo yuko vzr
Wewe bwana unasema kweli?ngoja nikupe mic utume tu salamHii Wydad ya msimu huu hamna kitu. Ni kama Mtibwa Sugar tu. Ingepangwa kundi moja na timu kali kabisa kama Yanga, aisee ingefungwa goki 10.
Tafadhali sana wadada wa bongo muvi na fleva msije muharibu kipa wetuHizi ni kazi za Ayuuubbbb Lakreeed....
Nipo naiangalia online live hapa homeUnaangalia game wapi? Game ikiisha naenda hapo Kilimanjaro Pub.
Haya sema mada ya Leo ni Simba na waarabu ,sitaki kuharibu mada.Sasa jamani mi nimesema kipi kibaya? Yani nikiwa na mpenzi ambaye namuona anafaa kuwa mume nisiseme nimechukuliwa tayari?
Kunyang’anywa mchumba kunategemea na mchumba mwenyewe ambaye sijioni namna hiyo.
Yes, ushindi ni motisha.