FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

Ahsante kunirekebisha kaka
Ila pole sana Kwa maumivu
Hakuna maumivu yoyote zaidi ya kupoteza muda tu hapa JF, tangu lini Binadamu alipangiwa cha kumpatia furaha tokana na kuchukia kitu au kukipenda?

Screenshot_2023-04-23-19-08-57-11_73617a28b0d3e7e6a04848a88f233e6b.jpg
 
Sasa jamani mi nimesema kipi kibaya? Yani nikiwa na mpenzi ambaye namuona anafaa kuwa mume nisiseme nimechukuliwa tayari?

Kunyang’anywa mchumba kunategemea na mchumba mwenyewe ambaye sijioni namna hiyo.

Yes, ushindi ni motisha.
Haya sema mada ya Leo ni Simba na waarabu ,sitaki kuharibu mada.
Ila Dunia hii ni ngumu sana,Kaa ukijua.

Kocha mwarabu kafufua hamasa ya wachezaji na uongozi,matokeo yakibaki hivi Simba itakua na amani.
 
Back
Top Bottom