FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

Ukweli leo nimejikuta na wakati mgumu sana, sikutamani Simba ashinde pia sikutaka kuona mwarabu naye akishinda.

Nilichojifunza ni kwamba Chuki ni kitu kibaya sana. Naichukia Simba na Namchukia mwarabu sasa sijui nifanyaje?
Kufwaaaa
 
Mdomo uliponza kichwa mkuu
Yanga ina miaka 25 ndiyo imefaulu kuingia makundi ya club bingwa. Jiulize kati ya hiyo miaka 25 wamechukua makombe mangapi hapa Tanzania?

Yanga ukiwauliza timu gani kubwa uliyoifunga watakuambia TP Mazembe😁😁😁😁 Vibonde waliochoka walipokutana shirikisho baada ya kutoka Champion League
 
Yanga Sc mpaka leo wanafurahi kupata medali (mshindi wa pili), ilihali Wydad aliipata hiyo kwenye AFL na CAFCL mara nyingi na hakushangilia.

Hawafanani hao[emoji23]
Wydad anapokea medali akiwa ameinamisha kichwa chini anafuta machozi.

Lakini Yanga ndio kwanza wamepagawa kwa furaha meno nje kila mtu hachezi mbali na Camera

Mpaka viongozi waalikwa wakawa wamepigwa na butwaa wakadhani waliona vibaya mechi kuwa huwenda Yanga ndio wamechukua ubingwa.

Lakini baadaye walipokuja kuambiwa kuwa hawajawahi fika makundi Club Bingwa tangu 1996 BC hapo ndip wakaelewa
 
Mnapenda kujifariji sana
  • Simba alipoenda kucheza na Wydad mlisema kwa mpira mbovu atapigwa nyingi sana. Wengine walisema Wydad anamsubiri mwali wake
  • Baada ya Simba kupigwa 1-0 mlisema alishikilia bomba
  • Leo Simba ameshinda mnasema Wydad siyo timu
Yanga huwa hakosi visingizio, kipindi kile baada ya kupigwa 3-0 Algeria walisema wataifunga Al Ahly wakatoka 1-1 pamoja na kuvaa msuli.
Yanga ina miaka 25 ndiyo imefaulu kuingia makundi ya club bingwa. Jiulize kati ya hiyo miaka 25 wamechukua makombe mangapi hapa Tanzania?
Yanga ni vigeugeu
 
Haka ka feeling ka ushindi ni amazing sana hapa namsubir na shemeji yenu achezee mbili bila[emoji39][emoji39]
JamiiForums-696826148_378x430.jpg
 
😂😂😂
Na atanitania leo balaa, naona tunapeana zamu za maumivu kwenye hii familia..
Hii ndiyo raha ya ushabiki sasa!

Kesho Uto mkipigwa anakucheka unamnunia au unajiliza kabisa mpaka anakuonea huruma; hapo hapo unachomekea lazima akalete kizawadi kizuri ndo mambo mengine yaende...na kweli anakileta...

Ushabiki huu unasaidia sana kuimarisha penzi ukitumiwa vizuri mdogo wangu! 😁😁🖐
 
Kwa mbinde mnoo

Mixer na kujaza mabeki MMae

Lasivyo zingerudi

Makolo waoga kishenzi
 
Wale kina mzee Dalali ni watu wazito sio watu wa mchezo mchezo wakipewa nafasi. Yule mshambuliaji wa waydad sambou mara mbili anabaki na kipa eti anakosa!
 
Hii ndiyo raha ya ushabiki sasa!

Kesho Uto mkipigwa anakucheka unamnunia au unajiliza kabisa mpaka anakuonea huruma; hapo hapo unachomekea lazima akalete kizawadi kizuri ndo mambo mengine yaende...na kweli anakileta...

Ushabiki huu unasaidia sana kuimarisha penzi ukitumiwa vizuri mdogo wangu! 😁😁🖐
Leo ndani kwetu tumeagizia take away hatupiki...baba chanja kasema leo iwe sherehe.... 😆 😆 😆 😆
 
Back
Top Bottom