reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Balaa tupuKesho Utopolo na fungulia Umbwa Yenu Sijui itakuwaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Balaa tupuKesho Utopolo na fungulia Umbwa Yenu Sijui itakuwaje
KufwaaaaUkweli leo nimejikuta na wakati mgumu sana, sikutamani Simba ashinde pia sikutaka kuona mwarabu naye akishinda.
Nilichojifunza ni kwamba Chuki ni kitu kibaya sana. Naichukia Simba na Namchukia mwarabu sasa sijui nifanyaje?
Yaani afadhali ya ubunge wa akina halima mdeeKazi ya ukocha ni miongoni mwa kazi ngumu sana.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Wapende madeama
Yanga ina miaka 25 ndiyo imefaulu kuingia makundi ya club bingwa. Jiulize kati ya hiyo miaka 25 wamechukua makombe mangapi hapa Tanzania?Mdomo uliponza kichwa mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimejitaidi lakini nimeshindwa. Naona nishangilie kuona mwarabu kufungwa pasipo kuangalia aliyemfunga
Mimi sijawahi kumtukana Kocha...Utopolo tulia kesho ni kamasi na jasho litawatokaMakolo mbona mapema mno msije kuanza kutukana baadae na lawama maana akili zenu fupi sana..
Wydad anapokea medali akiwa ameinamisha kichwa chini anafuta machozi.Yanga Sc mpaka leo wanafurahi kupata medali (mshindi wa pili), ilihali Wydad aliipata hiyo kwenye AFL na CAFCL mara nyingi na hakushangilia.
Hawafanani hao[emoji23]
Haituhusu hitaarifa wapewe vyuraKocha alikua bado mpya hakuwajua vizuri wachezaji na hakuwa na muda wa kutosha wa kuwapika.
Yule kocha alikuwa mpumbavJamani nimempenda mwalimu..anawatumia wachezaji wote..kweli Robetinyo alikua anatuchelewesha...
Yanga ni vigeugeuMnapenda kujifariji sana
Yanga huwa hakosi visingizio, kipindi kile baada ya kupigwa 3-0 Algeria walisema wataifunga Al Ahly wakatoka 1-1 pamoja na kuvaa msuli.
- Simba alipoenda kucheza na Wydad mlisema kwa mpira mbovu atapigwa nyingi sana. Wengine walisema Wydad anamsubiri mwali wake
- Baada ya Simba kupigwa 1-0 mlisema alishikilia bomba
- Leo Simba ameshinda mnasema Wydad siyo timu
Yanga ina miaka 25 ndiyo imefaulu kuingia makundi ya club bingwa. Jiulize kati ya hiyo miaka 25 wamechukua makombe mangapi hapa Tanzania?
Hii ndiyo raha ya ushabiki sasa!😂😂😂
Na atanitania leo balaa, naona tunapeana zamu za maumivu kwenye hii familia..
Ūlīosagala gete bageshi 😁😁😁Haka ka feeling ka ushindi ni amazing sana hapa namsubir na shemeji yenu achezee mbili bila[emoji39][emoji39]View attachment 2847264
Leo ndani kwetu tumeagizia take away hatupiki...baba chanja kasema leo iwe sherehe.... 😆 😆 😆 😆Hii ndiyo raha ya ushabiki sasa!
Kesho Uto mkipigwa anakucheka unamnunia au unajiliza kabisa mpaka anakuonea huruma; hapo hapo unachomekea lazima akalete kizawadi kizuri ndo mambo mengine yaende...na kweli anakileta...
Ushabiki huu unasaidia sana kuimarisha penzi ukitumiwa vizuri mdogo wangu! 😁😁🖐
Kawaidaaa...mbona Baleke amekosaWale kina mzee Dalali ni watu wazito sio watu wa mchezo mchezo wakipewa nafasi. Yule mshambuliaji wa waydad sambou mara mbili anabaki na kipa eti anakosa!