BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Ya tatu hii sasa.Huyu Ayoub ni bonge ya kipa umecheki hizo saves?
Yupo vizuriYa tatu hii sasa.
mzamirujamaa gani hujaeleza
Tungoje mpira umalizikeHivi Kuna mtu anawaza kwamba Simba atamfunga Mwarabu Kwa uchezaji huo?
Kwa Diarra kwenye zile shuti 3 angefungwa 4Kipa kazipunguza tatu,yaani mpaka sasa Man of the match.
Uko kuroga au? Unategemea miujiza au? 🤪🤪Tungoje mpira umalizike
Yeah, anajitahidiHuyu Ayoub ni bonge ya kipa umecheki hizo saves?