Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Nong'ona ili Aden Rage asikusikie vinginevyo atakumaindi vibaya sana!Wewe nae mbona huwa nakuona una akili zako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nong'ona ili Aden Rage asikusikie vinginevyo atakumaindi vibaya sana!Wewe nae mbona huwa nakuona una akili zako?
Huo unafki nenda nao pekeyako huko kuzimu, kwangu nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi [emoji6][emoji851]Acha Fitna Bung'iIpigwe Ushindi Upatikane
Utopolo Kesho Nao WASHINDE Warudi
Jangwani Kifua Mbele
Sisi hatuna cha kujiandaa, mtu kama Pacome anajiandaa nini?Ha ha ha ha kajiandae na Medeama tafadhali
MkuuWeek itakua na makele sana, ila mmeotea tu siyo mafundi kiviile😀🏃♀️
Tulia hapo hapo cheki boli linavyotandazwa..Hata mechi iliyopita pia nilikuwepo.
Mmeyataka wenyewe 😂Tutajuta😀
Ungesema kabla ya mechi ya leo.Kusema tu ukweli......hii wydad Casablanca ni maji maji watupu
Leo mtamsifia Kila mchezajiKibu denis amecheza vizuri.
Nimemmiss ila sitamani arudi kutoka kwenye majukumu yake, nyie watu mna maneno ya kukera sana.Kutesa kwa zamu, ulimtesa sana karibia wiki tatu kuanzia ile siku 5, wacha leo atambe
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Bado hujasemaKusema tu ukweli......hii wydad Casablanca ni maji maji watupu
Wameleta jipyaNamaanisha hilo hirizi maana liliondoshwa wakati wa ukarabati.
Sawa mkuuSisi hatuna cha kujiandaa, mtu kama Pacome anajiandaa nini?
Anzisha uzi mkuu.Wydad hamna timu hapa