Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Mchezo umekwisha kivipi bibie. Fafanua tafadhali.Na wakipata goli tu mchezo umekwisha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchezo umekwisha kivipi bibie. Fafanua tafadhali.Na wakipata goli tu mchezo umekwisha!
Mpk usemeKusema tu ukweli......hii wydad Casablanca ni maji maji watupu
Ujue siku ile niliandika kwa mzaha tu mara ghafla ikatokea jamaa katupiaUsiseme bocco sema tegemeo la wanasimba
Wala haikuwa serious, na nilicheka sana.Hayo maneno yakutoka kwa bahati mbaya usiyatilie maanani..ni ajali tu!
We fikiria mwenyewe, mtu umejitahidi kulala na maumivu yako ya 5 ajabu asubuhi unajikuta kwenye bango mjini!..
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hamna kitu hapo ilitakiwa Mpaka sasa mjipigie 🖐🏿WAARAB KAMA SIWAELEW WAMEKUJA NA KAKASI FULAN
Huyu huwa ana zala sana hasa kikikaribia kipindi cha usajili.Ujue siku ile niliandika kwa mzaha tu mara ghafla ikatokea jamaa katupia
Huyu huwa ana zala sana hasa kikikaribia kipindi cha usajili.Ujue siku ile niliandika kwa mzaha tu mara ghafla ikatokea jamaa katupia
Mzee mwenzangu, huo ndii uhalisia, simba tunahitaji namba 8 mwingine si yeye si kanoute wanaotimiza wajibu wao ipasavyo, namba 8 anahitajika mtu mzuri tukiwa na mpira na kipindi hatuna, mchezesha timu, fundi kweli kweli, mapafu ya mbwa. Anaeweza kuiamuru timu sasa icheze, ishambulie n.k.Tulia Makaveli...
Kamechi kamoja tu tena hakajaisha ndio mambo kama haya 🥹🥹Mnyama anaongoza njia nyumbu uto anafuata
Tumeshapoa usijali..Wala haikuwa serious, na nilicheka sana.
Poleni Mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
IpiWydad watuokoe na hii fedheha jamani 🥹🥹
Ebu kuwa mzalendo japo kwa leo tu!Wydad watuokoe na hii fedheha jamani 🥹🥹
Watarudi mchezoni na kuongeza la 2.Mchezo umekwisha kivipi bibie. Fafanua tafadhali.
Sio kwa match hiii..Kibu anatoka
David Kameta Duchu anaingia
Hii sasa ndio rotation
Hii timu haipo kwenye ramani ya soka la afrika, hata kwenye 20 Bora haimo! Wydad imo ndani ya 5 Bora!Madeama