FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

Hayo maneno yakutoka kwa bahati mbaya usiyatilie maanani..ni ajali tu!

We fikiria mwenyewe, mtu umejitahidi kulala na maumivu yako ya 5 ajabu asubuhi unajikuta kwenye bango mjini!..

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Wala haikuwa serious, na nilicheka sana.
Poleni Mkuu 🤣🤣🤣
 
Tulia Makaveli...
Mzee mwenzangu, huo ndii uhalisia, simba tunahitaji namba 8 mwingine si yeye si kanoute wanaotimiza wajibu wao ipasavyo, namba 8 anahitajika mtu mzuri tukiwa na mpira na kipindi hatuna, mchezesha timu, fundi kweli kweli, mapafu ya mbwa. Anaeweza kuiamuru timu sasa icheze, ishambulie n.k.
Mwenye uchaguzi mzuri wa pasi na pass accuracy nzuri
 
Back
Top Bottom