FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

Ukweli leo nimejikuta na wakati mgumu sana, sikutamani Simba ashinde pia sikutaka kuona mwarabu naye akishinda.

Nilichojifunza ni kwamba Chuki ni kitu kibaya sana. Naichukia Simba na Namchukia mwarabu sasa sijui nifanyaje?
Fanya unaloweza mkuu
 
Usibafilishe kocha kabla ya kukutana na mnyama
 
Wydad wangekuwa na mindset za Yanga basi muda huu wangekuwa wanafuraha kuliko sisi.

Unajua kwanini?

Kwasababu furaha ya Yanga siku zote ni kucheza vizuri na kumiliki mpira kuliko mpinzani haijalishi amefungwa bao ngapi.

Leo Wydad kamaliza mechi akiwa mnyonge amekaa chini, ingekuwa ni Yanga wangekuwa wanakimbizana uwanjani kwa furaha.
 
Wale utopolo wako wap
JamiiForums1410308973.jpg
 
Back
Top Bottom