denoo JG
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 2,701
- 9,759
Ipende Simba.Ukweli leo nimejikuta na wakati mgumu sana, sikutamani Simba ashinde pia sikutaka kuona mwarabu naye akishinda.
Nilichojifunza ni kwamba Chuki ni kitu kibaya sana. Naichukia Simba na Namchukia mwarabu sasa sijui nifanyaje?
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app