FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Haji Manara amewaharibu akili mashabiki wenginwa simba. Tunamshukuru Walace Karia kwa kumfungia huyu mtu kwenye klabu yetu.

Maana kuna uwezekano mkubwa kama angeendelea kuhudumu kwenye klabu yetu, baadhi ya mashabiki wa Yanga nao wangekuwa kama nyinyi. Yaani akisema tu kitu, hata kama ni pumba! Basi mnakichukua kama kilivyo, na kukileta humu jukwaani, kuja kumtukuza.
Klabu yenu haikutaka afungiwe na ilimtetea.
 
King of the jungle
Screenshot_20230416-150611.png
 
**********
************************

Familia ya Bwana na Bibi TFF inayo furaha kubwa kukualika/kuwaalika Bwn/ Bibi/ Prof/ Mch/ Mh/Dr/Bwn&Bibi................................. Kwenye harusi ya kijana wao mpendwa YOUNG AFRICAN Anaetarajia kufunga ndoa na binti mrembo SIMBA (ZUWENA).
Harusi itafanyika siku ya Jumapili tarehe 16/04/2023 katika uwanja wa BENJAMIN MKAPA Jumapili Ndo Hiyo leo kitawaka kuanzia saa 11:00 jioni hivyo ukiwa kama ndugu na jamaa unaombwa kufika bila kukosa ukipata mwaliko huu mjulishe na mwenzio

**********
************************
 
Back
Top Bottom