Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Dstv wakiichukua NBC
Hata akapeleka kwa compact plus 99k, atapata watu.
Hahaha...labda unaongelea Wakenya...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dstv wakiichukua NBC
Hata akapeleka kwa compact plus 99k, atapata watu.
[emoji1787] [emoji1787]Half american [emoji23][emoji23][emoji23] jiandae kuamsha hilo matipo lako baada ya kula ban.
Acha tu awe G.O.AT😍😂Ameeen Greatest Of All Time pokea baraka baba
Kwanza ndio wamejichongea, hawataamini, halafu huyo Inonga kama anapanda ndio mzuri mwache nyuma ambakize babu.Wanayanga msiogope, Hawa tumewatanguliza na baiskeli ya mbao
Hii game bado mbichi
🙏🏾🙏🏾🙏🏾Ameeen Greatest Of All Time pokea baraka baba
Mmeanza 😂😂😂Haf Kuna mtu atasema huu mpira hauna Uchawi [emoji23][emoji23]
Wachezaji wa yanga kama viatu vina mawe *****
Tulia wewe mda badoHalf american 😂😂😂 jiandae kuamsha hilo matipo lako baada ya kula ban.
Hawajiiii Numbisa Bantu Lady wakianza kufungwa hawaji utawaona baadae [emoji1787]
Nakwambia hawajiii nawajua hao wakifungwa tu wanaleft [emoji1787] utawaona wakirudisha
🙏🏾🙏🏾Huyu aliyeandika huu uzi ana pepo yake kwa kweli😂😂
Naku heart 😍😂🏃♀️🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Dah redio mkuu kweli hahah
[emoji1787] Bado mpoo siaminii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bado sana muda zitarudi tuuu
Anza kabisa kufungua ID.Tulia wewe mda bado
Mwaaah 😘😘, accept my kisses😂😂🙏🏾🙏🏾