FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Kamuweka azizi nje kosa kubwa sn kocha wa yanga amefanya. ..maybe ni plan B yake
 
Wanayanga msiogope, Hawa tumewatanguliza na baiskeli ya mbao

Hii game bado mbichi
Kwanza ndio wamejichongea, hawataamini, halafu huyo Inonga kama anapanda ndio mzuri mwache nyuma ambakize babu.

Wasiwasi wangu ni hii mvua isiharibu Burudani.
 
Wachezaji wa Yanga hawajatulia, Simba ndio nafasi ya kupata magoli mengi zaidi kwa wakati huu
 
Back
Top Bottom