Dstv wakiichukua NBC
Hata akapeleka kwa compact plus 99k, atapata watu.
[emoji1787] [emoji1787]Half american [emoji23][emoji23][emoji23] jiandae kuamsha hilo matipo lako baada ya kula ban.
Acha tu awe G.O.ATππAmeeen Greatest Of All Time pokea baraka baba
Kwanza ndio wamejichongea, hawataamini, halafu huyo Inonga kama anapanda ndio mzuri mwache nyuma ambakize babu.Wanayanga msiogope, Hawa tumewatanguliza na baiskeli ya mbao
Hii game bado mbichi
ππΎππΎππΎAmeeen Greatest Of All Time pokea baraka baba
Mmeanza πππHaf Kuna mtu atasema huu mpira hauna Uchawi [emoji23][emoji23]
Wachezaji wa yanga kama viatu vina mawe *****
Tulia wewe mda badoHalf american πππ jiandae kuamsha hilo matipo lako baada ya kula ban.
Hawajiiii Numbisa Bantu Lady wakianza kufungwa hawaji utawaona baadae [emoji1787]
Nakwambia hawajiii nawajua hao wakifungwa tu wanaleft [emoji1787] utawaona wakirudisha
ππΎππΎHuyu aliyeandika huu uzi ana pepo yake kwa kweliππ
Naku heart πππββοΈππΎππΎππΎ
Dah redio mkuu kweli hahah
[emoji1787] Bado mpoo siaminii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bado sana muda zitarudi tuuu
Anza kabisa kufungua ID.Tulia wewe mda bado
Mwaaah ππ, accept my kissesππππΎππΎ