FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Umewaiwa

Siku nyingine cheza vizuri na saa
 
Na mvua ndio hiyooooo inaanza

Na nikicheki hapa TMA wanasema hii ngoma tupo nayo mpaka baadaye majira ya saa 10 jioni ndio inakata.

Wazee wa records mnaweza mkatusaidia katika hali ya hewa ya namna hiyo ni timu gani ambayo iliwahi kupata matokea zaidi kuliko nyingine.
 
Ni juzi tu hapa, kuna mwarabu alifanywa kitu kibaya baada ya mvua kunyesha. Anyway, angalau mtapata cha kusingizia.

Nasikia Manula ameingia mitini kama kawaida yake, hataki kubeba lawama!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ulishawahiwa na wahuni ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ BTW umeandika vitu vya hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ