Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Narudia tena YANGA ikifungwa nipigwe ban for 6 monthsSaved for reference
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Narudia tena YANGA ikifungwa nipigwe ban for 6 monthsSaved for reference
Rasta tulia unyolewe acha mapepe toa ushirikiano kwa kinyoziHuyu Simba mbona ana rangi za upinde? Simba km afande wa zenji[emoji38][emoji38]
Sijui huwa wanapata fungu gani hata sijawahi kuwaelewa kabisa.Hua mnanifurahisha mnavyogombania kuanzisha nyuzi za mech.
Baada ya kuona wivu "Wananchi" wametamba na wanaendelea kuwa maarufu zaidi mmeamua kujikana nafsi na jina lenu bovu "Wanathiimba"?Wenye nchiiiii[emoji881][emoji881][emoji881]
Kwamba kesho Makolokolo wataingia uwanjani kiupande upande badala ya kinyume nyume?Hahaha mpira dakika 90, ila kwa maandalizi ya ndani na nje ya uwanja tuliyoyafanya, sioni mtaficha wapi sura zenu[emoji1787][emoji1787]
Go go kwenda wapiLets Go Yanga! Wananchiiiiiii [emoji169][emoji172]
Bora mods wametufichia huo ujingaUlishawahiwa na wahuni 😝😝😝 BTW umeandika vitu vya hovyo
Weka dadaSina mke na hata nikiwa nae siwezi weka 😂
Draw hatuitaki apigwe mtu, alale yoo wakununa anune 🦁 bob killerVice versa is true
Japo kwa mbaali naiona Ngoma Draw
Naona umeukimbia uzi wako wa Mayele vs Kibu kijanjaBora mods wametufichia huo ujinga
Simba wa upinde!?