FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Haya ni mazarau Hadi wachezaji vilema wanafunga... [emoji52][emoji52]
 
Wewe umeanza ushabiki juzi tu huna ulijuwalo.

Timu bora inaweza kupata matokeo Mabaya kwenye mechi, hata mchezaji mzuri anaweza asiwe na siku nzuri kwenye mechi, hivi vitu vipi kwenye soka.

Kwa kwakutulia angalia plan ya Nabi second half inakuwaje.
Plan B ni kina mudathir, Kina Kibwana ila asimdakishe mettacha hakya Mungu hawajatofautiana sana na Manula
Pia Aziz Ki huwa ana kismet cha magoli hata akiingia dakika za lala salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…