Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Kibuuuuuud
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kabisa my dia hawa vyura pumbavu zao wameingia cha kikeMimi mvua inanyesha...
Ila ninatoka jasho si kawaida.[emoji1787]
Leo ni leo...
Dah leo naona mnapelekea moto mwananchi vilivyoJAmani jamaniiiii jamaniiii ssinapa kushika nimevaaa dera najiona nimenenepa limenibanaaa si kwa raha hizi
Say no more!!!!!
Kumbukeni mnacheza na timu iko champions league.Hatari hii jamani leo mbona wananchi tumetepeta hivi kama mlenda vugu vugu
Hakuna cha plan B ya Nabi kama hujui hizi mechi ukiwahiwa imeisha hiyoWewe umeanza ushabiki juzi tu huna ulijuwalo.
Timu bora inaweza kupata matokeo Mabaya kwenye mechi, hata mchezaji mzuri anaweza asiwe na siku nzuri kwenye mechi, hivi vitu vipi kwenye soka.
Kwa kwakutulia angalia plan ya Nabi second half inakuwaje.
"Yeye huwa anawaka kwenye game ndogondogo tu, kama hii"Huyu chama sio wa kawaida
Kijana mmoja wa hovyoNimejifunza kitu leo.
kumbe cha kwanza unamwaga baada ya dakika 2.
Halafu unapeleka moto dakika 25 ndio unatupia cha pili
RESPECT SIMBA
Kuna chamaaaaa mfate akutie aibu 😂😂Kmmk hapa ukumbini (bar moja hivi) linapigwa lile gome la TUNDA MAN (Hata haturingi)[emoji445][emoji445][emoji23][emoji23]
Hili vibe ni [emoji91][emoji91][emoji91]
Pole sn madam. .tukuletee mtumbwi au utaweza ogeleaAcheni kunisumbua nyie makolo, niko kusaidia kutoa maji Makao Makuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😎😎😎😎😎View attachment 2590050
Nakupendea hiko tuu...upo realGoli la kwanza limetutoa mchezoni hata structure ya shape kuanzia defence mpaka middle zimevuruguka na ndio maana goli la pili kaunta,hata nafasi alizo kosa Beleke zote ni kaunta. Simba alistahili kuongoza kwa nne bila first half ila ndio hivyo naona leo Beleke hana zali.
Ngoja tuone kipindi cha pili, ila Yanga wanahitaji kutulia tu na si vinginevyo na kustay in shape kwa ajili ya kuzuia kaunta.
Wakitoka Hao Ujue Ndiyo Wainalillah...Toa sureboy na mamnyeto! Weka muhadhir na ki Aziz, hapa ndo ntaona kama Kuna tactical changes zozote
.Wewe umeanza ushabiki juzi tu huna ulijuwalo.
Timu bora inaweza kupata matokeo Mabaya kwenye mechi, hata mchezaji mzuri anaweza asiwe na siku nzuri kwenye mechi, hivi vitu vipi kwenye soka.
Kwa kwakutulia angalia plan ya Nabi second half inakuwaje.
Tuambie lini tena waliwahi tangulia kwa goli 2 mkawafunga?Sio mala ya kwanza hawa jamaa kututangulia 2
We tulia
Wamekitoa?? DuuuhAaah mods raha ya uzi kama huu ni kuona wachambuzi wakitupe daah kile kidude kirudiiiiii