FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Nawakumbusha tu Simba ni ya 9 kwa ubora Afrika, hata Mazembe yupo chini ya Simba [emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20230408-190251.jpg
 
Wewe umeanza ushabiki juzi tu huna ulijuwalo.

Timu bora inaweza kupata matokeo Mabaya kwenye mechi, hata mchezaji mzuri anaweza asiwe na siku nzuri kwenye mechi, hivi vitu vipi kwenye soka.

Kwa kwakutulia angalia plan ya Nabi second half inakuwaje.
Hakuna cha plan B ya Nabi kama hujui hizi mechi ukiwahiwa imeisha hiyo
 
Aaah mods raha ya uzi kama huu ni kuona wachambuzi wakitupe daah kile kidude kirudiiiiii
 
Goli la kwanza limetutoa mchezoni hata structure ya shape kuanzia defence mpaka middle zimevuruguka na ndio maana goli la pili kaunta,hata nafasi alizo kosa Beleke zote ni kaunta. Simba alistahili kuongoza kwa nne bila first half ila ndio hivyo naona leo Beleke hana zali.

Ngoja tuone kipindi cha pili, ila Yanga wanahitaji kutulia tu na si vinginevyo na kustay in shape kwa ajili ya kuzuia kaunta.
Nakupendea hiko tuu...upo real
Ila pole mtani
 
Wewe umeanza ushabiki juzi tu huna ulijuwalo.

Timu bora inaweza kupata matokeo Mabaya kwenye mechi, hata mchezaji mzuri anaweza asiwe na siku nzuri kwenye mechi, hivi vitu vipi kwenye soka.

Kwa kwakutulia angalia plan ya Nabi second half inakuwaje.
.
IMG_20230416_174755.jpg
 
Back
Top Bottom