Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Leo ni siku ya kusoma huu uzi kila sentensi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saiv bila decoda inakubaliHii hata kama sina Decoder naweza tumia? Kwa maana hainilazimu kwanza kuwa na mwenye usajiri wa Decoder?
na nyie kuwahi mnaweza watani, mana hamuoni aibu mnawasha ubani mpaka bondeniHakuna cha plan B ya Nabi kama hujui hizi mechi ukiwahiwa imeisha hiyo
Leo Wananchi wameanza mpira kama vinyonga. Kipindi cha pili kama kocha hatafanya mabadiliko ya kiufundi, aisee tutapigwa nyingi.Goli la kwanza limetutoa mchezoni hata structure ya shape kuanzia defence mpaka middle zimevuruguka na ndio maana goli la pili kaunta,hata nafasi alizo kosa Beleke zote ni kaunta. Simba alistahili kuongoza kwa nne bila first half ila ndio hivyo naona leo Beleke hana zali.
Ngoja tuone kipindi cha pili, ila Yanga wanahitaji kutulia tu na si vinginevyo na kustay in shape kwa ajili ya kuzuia kaunta.
Subiri 90mnts.Weekend mod..
View attachment 2590058
Eeh hapo hapo!! We upo banda gani kwani!Dah....na wewe upo hapa? [emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa captain wa Yanga ndio njia km hujui. ..Nakupendea hiko tuu...upo real
Ila pole mtani
Mungu atusaidie tufunge magoli mengine kipindi cha pili.MUNGU NAKUSHUKURU SANAAA LEO NITALALA
Wamekitoa?? Duuuh
Kabisa inabidi aongee na wachezaji wasipanick.Leo Wananchi wameanza mpira kama vinyonga. Kipindi cha pili kama kocha hatafanya mabadiliko ya kiufundi, aisee tutapigwa nyingi.
HaaaMwanamuziki nguli wa Bongofleva, Lady Jay Dee aliwahi kuimba kibao maarufu " Siku hazigandi " alikuwa sahihi. Lile pambano lililokuwa linasubiriwa kwa hamu hatimae ndio linapigwa leo, ama kweli siku hazigandi.
Ndio ni Kariakoo Derby, ni Simba Sc Vs Yanga Sc katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar Es Salaam saa 11:00 jioni.
Mnyama mkubwa mwituni, Simba Sc itakuwa inawaalika wapinzani wao wa jadi Yanga, huku ikijaribu kupunguza pengo la point baina ya timu hizo mbili.
Yanga inaongoza ligi ikiwa na alama 68 huku Simba ikiwa na alama 60 hivyo kufanya tofauti kuwa alama 8 huku zikisalia mechi 5 kabla ya msimu kuisha.
Simba itashuka dimbani kujaribu kutafuta ushindi wake wa kwanza tangu ilivyofanya hivyo mara ya mwisho mwaka 2019. Ni mechi saba sasa Simba hajamfunga Yanga katika Ligi Kuu ya NBC.
Mechi ya mwisho walipokutana wababe hao, matokeo yalikuwa 1-1 kwa magoli ya Augustine Okrah kwa Simba na Aziz Ki kwa upande wa Yanga.
Simba itashuka dimbani huku ikimtegemea zaidi mshambuliaji wake aliyefomu , Jean Baleke ambaye kwasasa hakamatiki kwa fomu yake huku akina Chama, Ntibazonkiza na Mzamiru wakitegemewa kuleta chachu ya ushindi.
Kwa upande wa Yanga, watamtegemea zaidi Straika wao ambaye fomu yake imekuwa ikipanda na kushuka Fiston Kalala Mayele huku pia Aziz Ki na akina Jesus Moloko wakitegemewa kunogesha zaidi.
Je, Simba atakubali kuendelea kuwa mnyonge kwa Yanga?
Na vipi upande wa pili, ubingwa bila kumfunga mtani unaweza kunoga?
Mwamuzi wa mtanange huo ni mwanamama, Jonesia Rukya akisaidiwa na akina Janeth Balama pamoja na Mohamed Mkono.
Mechi ni saa 11:00 jioni na itakuwa live Azam Sports 1HD
Kwa live updates, utani wa hapa na pale na yote yanayohusu mechi hii basi hapa ndio sehemu sahihi kwako Mwana JF...
Timu zinaingia uwanjani
Mchezo umeanza
2' Goooooooooooooooooooo
Inonga anafunga goli kwa kichwa baada ya walinzi wa Yanga kuzubaa
5' Mchezo una kasi, Yanga wanajipanga kutafuta goli la kusawazisha
10' Mvua imeanza kunyesha uwanjani
18’ Mchezo umesimama kwa muda Inonga ameumia baada ya kugongana na Musonda
22' Mchezo unaendelea, ufundi umepungua kiasi kutokana na mvua
29’ Shuti la Baleke linagonga nguzo baada ya kupewa pasi nzuri na Chama
29’ Kibu Denis anapata kadi ya njano kwa kucheza faulo
31’ Yanga wanapata kona ya 3
32’ GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Kibu Denis anafunga goli la pili kwa shuti kali
43' Baleke anakosa nafasi nyingine ya wazi akipokea pasi ya Chama
45' Zinaongezwa dakika 2
MAPUMZIKO
Angalia wingu ilivyo jeusi, hivi unajua kuogelea kweli?Acheni kunisumbua nyie makolo, niko kusaidia kutoa maji Makao Makuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😎😎😎😎😎View attachment 2590050
Imekwisha hyoHakuna cha plan B ya Nabi kama hujui hizi mechi ukiwahiwa imeisha hiyo
Yanga jeuri yote kwisha!Kabla ya gemu walivyokuwa wanatembea kwa kujiamini sasa!!View attachment 2590052
Wakati GENTAMYCINE anawapa za ndani kuwa wanahitaji sijui maji ya maiti sijui fisi watu wakadhani Ni utani haya sasaHatari hii jamani leo mbona wananchi tumetepeta hivi kama mlenda vugu vugu