FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Goli la kwanza limetutoa mchezoni hata structure ya shape kuanzia defence mpaka middle zimevuruguka na ndio maana goli la pili kaunta,hata nafasi alizo kosa Beleke zote ni kaunta. Simba alistahili kuongoza kwa nne bila first half ila ndio hivyo naona leo Beleke hana zali.

Ngoja tuone kipindi cha pili, ila Yanga wanahitaji kutulia tu na si vinginevyo na kustay in shape kwa ajili ya kuzuia kaunta.
 
Plan B ni kina mudathir, Kina Kibwana ila asimdakishe mettacha hakya Mungu hawajatofautiana sana na Manula
Pia Aziz Ki huwa ana kismet cha magoli hata akiingia dakika za lala salama
Nadhani Morrison anafaa zaidi ila hatabiriki ndio tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…