FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Hii game yanga wakimuingiza Morrison na Aziz mafunguo watapata matokeo.
 
Leo Wananchi wameanza mpira kama vinyonga. Kipindi cha pili kama kocha hatafanya mabadiliko ya kiufundi, aisee tutapigwa nyingi.
 
Haaa
 
Hatari hii jamani leo mbona wananchi tumetepeta hivi kama mlenda vugu vugu
Wakati GENTAMYCINE anawapa za ndani kuwa wanahitaji sijui maji ya maiti sijui fisi watu wakadhani Ni utani haya sasa
Hapo mpaka atoke mtu wa kujitoa mhanga ima kukatisha uwanja au la pili siwezi liandika hapa ndo magoli yarudi..
Nadhani la pili Kamati ya wazee was YANGA jitahidini muwahi mapema walau iwe sare..
 
Kwingineko duniani:

Arsenal wameanza kukata moto kwenye safari ya ubingwa, Mancity wanafukuza mwizi kimyakimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…