Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Anza Leo usikuKesho najiona nikisikiliza vipindi vyote vya michezo kila Redio.[emoji1]
Ukiwa na Azam max, unaangalia mechi Bure. As long as unaking'amuzi Cha Azam kilicholipiwaNaomba muongozo, sina experience ya kuangalia online. Azam wamekata mitambo
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Ah tulia tuu...hapa sie ndio mabingwa nyie chezeni tuuKumbukeni mnacheza na timu iko champions league.
Hii si Ihefu
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Why sasa au tulikua tuna wakasirisha tunavyojazana kama tupo kwny foleni ya kupata namba ya NIDAEti bana ndo nawatafuta saiv nipate screenshot siwaoni
Kabisa Mkuu, tungekua na Goli Tano mpaka sasaBalake angekuwa clinical leo half time tulikuwa tunaongelea 5 - 0
Yanga ni kama kenge, bao mbili bado sina imani kabisa
Kama huna decoder ya Azam, utahitajika kulipia subscription feeHii hata kama sina Decoder naweza tumia? Kwa maana hainilazimu kwanza kuwa na mwenye usajiri wa Decoder?
AiseeeZile goli 2 za wazi alizokosa Beleke... kamnyima chama assist 2.... Natarajia kipindi cha 2 atasahihisha makosa yake.
Leo mumeloa mapema na bado Leo mumelala Chali ndembedembeWallah tena! Wananchi leo tumepatikana. Hali tete.
Yaani asipoingia Ibrahim Bacca, na viungo wanyumbulifu pale kati; leo tutapigwa nyingi!
Utopolo, Swali lako hatulijibu, unataka tukujibu ili iweje??.Kibu bado ni garasa?
Lakini kabla ya game mlikuwa mnasema mashabiki wachague wenyewe mchezaji wa kupangwa, kwamba wote ni moto na yeyote yule atakayepangwa atakiwashaYaani asipoingia Ibrahim Bacca, na viungo wanyumbulifu pale kati; leo tutapigwa nyingi!