FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Endapo Simba itapata bao la 3 mapema sana kuna kitu kibaya Sana kinaenda kutokea
 
Zile goli 2 za wazi alizokosa Beleke... kamnyima chama assist 2.... Natarajia kipindi cha 2 atasahihisha makosa yake.
 
mdaka mishale
Screenshot_20230416-175612.png
 
Inabidi simba na yanga isiwe derby tena, tutafute mwenye levels zetu.
 
Back
Top Bottom