Ok. Nimekuelewa. Shukrani kwa maunjanja haya. Acha niinstall Chap.Kama huna decoder ya Azam, utahitajika kulipia subscription fee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sawa...Anza Leo usiku
Mpigwe tu hakuna namna angalau mtaani kutulie maana mna kelele nyie!Wallah tena! Wananchi leo tumepatikana. Hali tete.
Yaani asipoingia Ibrahim Bacca, na viungo wanyumbulifu pale kati; leo tutapigwa nyingi!
Simba hata haturingiii....[emoji444]Kuna chamaaaaa mfate akutie aibu [emoji23][emoji23]
Kumbe huwa mnashinda kwa bahasha eeeh????[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Dah! Leo naona watu wamekataa kununuliwa!! Siyo kwa kutukazia huku. Wachezaji wetu leo wanacheza kama Ihefu Fc.
Kuna wakati game huwa inakataa. Ingawa katika hii mechi, kocha hakuwa na sababu ya kumuacha nje mchezaji ambaye yuko katika kiwango chake bora kabisa.Lakini kabla ya game mlikuwa mnasema mashabiki wachague wenyewe mchezaji wa kupangwa, kwamba wote ni moto na yeyote yule atakayepangwa atakiwasha
Sub wako wengi sana atachagua mwenyewe kulingana na pressure, tusubiri Prof afanye kitu ila Morrison na kibwana naona wanafit sana mana hizi Derby wanaexperience,mudathir ye kwakua mbongo anaelewa tu which is whichNadhani Morrison anafaa zaidi ila hatabiriki ndio tatizo.
Muulize wana kiungo gani zaidi ya aucho na sure boy na bangala??Lakini kabla ya game mlikuwa mnasema mashabiki wachague wenyewe mchezaji wa kupangwa, kwamba wote ni moto na yeyote yule atakayepangwa atakiwasha
π€£π€£π€£ππ€£πππTumewakosa latatu hawa vitoga
Wachutame tu hakuna namnaAcha kabisa my dia hawa vyura pumbavu zao wameingia cha kike