FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Mama mkanye mwanao 😂😂😂
B8B4E7C4-2EF9-484F-A33F-7D41B53D5222.jpeg
 
Lakini kabla ya game mlikuwa mnasema mashabiki wachague wenyewe mchezaji wa kupangwa, kwamba wote ni moto na yeyote yule atakayepangwa atakiwasha
Kuna wakati game huwa inakataa. Ingawa katika hii mechi, kocha hakuwa na sababu ya kumuacha nje mchezaji ambaye yuko katika kiwango chake bora kabisa.
 
Nadhani Morrison anafaa zaidi ila hatabiriki ndio tatizo.
Sub wako wengi sana atachagua mwenyewe kulingana na pressure, tusubiri Prof afanye kitu ila Morrison na kibwana naona wanafit sana mana hizi Derby wanaexperience,mudathir ye kwakua mbongo anaelewa tu which is which
 
Lakini kabla ya game mlikuwa mnasema mashabiki wachague wenyewe mchezaji wa kupangwa, kwamba wote ni moto na yeyote yule atakayepangwa atakiwasha
Muulize wana kiungo gani zaidi ya aucho na sure boy na bangala??
 
Back
Top Bottom