Huyo ni zawadi mauya..hiyo ni historia...Unaweza uailale kabisa, mpira unakwisha pale refa anapomaliza mpira.
Au umeshasahau Zawadi Mauya alisawazisha goli mbili kwa dakika mbili second half?
Yaaaah aliyompa Baleke akakosaUle wa kunyenyua kwa juu?
Uyaseme haya dk 90 mkuuHatupo Club Bingwa kwa bahati mbaya
Aise leo ndo najua upo huku kwa wajanjaYanga anapigwa kama ngoma hapa...jukwaa lao lipo kimyaaaaa
Wamesusa eti wkati walikuwa wanakuja wengi na vinyesi vyaoMambo ya kukimbia jukwaa sio poa wana Yanga
Mpira haujaisha bado,usije kushangazwa!Kesho najiona nikisikiliza vipindi vyote vya michezo kila Redio.[emoji1]
Anyway ngoja tuone... ila bado nina wasiwasi inaweza toka 2 2 hii mechiKabisa Mkuu, tungekua na Goli Tano mpaka sasa
Simba huyu kipa wetu basi tu. Anafanya makosa mengi sana
Sijawahi kuwa utopolo hata Shadeeya analifahamuUtopolo, Swali lako hatulijibu, unataka tukujibu ili iweje??.
Na kuna watu bado wanamfananisha Chama na vitu visivyofananishika....Yaan ndio nimeona ule MPASI wa CHAMA huyu jamaa ni fundi
Ngoja tuoneBado naiamini Yanga
Haiishi mpaka iishe
Ndo wameingia hao wawili,sijajua katoka nani, bangala angerudi nyumaKwa hiyo hapo sehemu ya Mwamnyeto atacheza nani kati ya Ki na Mudathir? Au switching itakuwaje?
Kocha amekusikiaToa sureboy na mamnyeto! Weka muhadhir na ki Aziz, hapa ndo ntaona kama Kuna tactical changes zozote
Comeback ya kufungua mwaka