FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

FB_IMG_1681616409937.jpg
 
Simba huyu kipa wetu basi tu. Anafanya makosa mengi sana

Yes , Kipa hana exposures na experience but ni muhimu kuwajengea uwezo makipa wote Kwenye match kubwa . Maana ipo siku Manula anaweza kupata injury halaf mkajikuta hamna replacement .
 
Back
Top Bottom