Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio hata mpira hujui, Chama kwa Yanga anacheza wapi?Simba 2-0 Utopolo
Wafungaji:Baleke, Chama
Hutaki acha
Nenda Simba Sisi Zetu Dua japo mimi moyo umegoma kabisa kukuamini leoMwanamuziki nguli wa Bongofleva, Lady Jay Dee aliwahi kuimba kibao maarufu " Siku hazigandi " alikuwa sahihi. Lile pambano lililokuwa linasubiriwa kwa hamu hatimae ndio linapigwa leo, ama kweli siku hazigandi.
Ndio ni Kariakoo Derby, ni Simba Sc Vs Yanga Sc katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar Es Salaam saa 11:00 jioni.
Mnyama mkubwa mwituni, Simba Sc itakuwa inawaalika wapinzani wao wa jadi Yanga, huku ikijaribu kupunguza pengo la point baina ya timu hizo mbili.
Yanga inaongoza ligi ikiwa na alama 68 huku Simba ikiwa na alama 60 hivyo kufanya tofauti kuwa alama 8 huku zikisalia mechi 5 kabla ya msimu kuisha.
Simba itashuka dimbani kujaribu kutafuta ushindi wake wa kwanza tangu ilivyofanya hivyo mara ya mwisho mwaka 2019. Ni mechi saba sasa Simba hajamfunga Yanga katika Ligi Kuu ya NBC.
Mechi ya mwisho walipokutana wababe hao, matokeo yalikuwa 1-1 kwa magoli ya Augustine Okrah kwa Simba na Aziz Ki kwa upande wa Yanga.
Simba itashuka dimbani huku ikimtegemea zaidi mshambuliaji wake aliyefomu , Jean Baleke ambaye kwasasa hakamatiki kwa fomu yake huku akina Chama, Ntibazonkiza na Mzamiru wakitegemewa kuleta chachu ya ushindi.
Kwa upande wa Yanga, watamtegemea zaidi Straika wao ambaye fomu yake imekuwa ikipanda na kushuka Fiston Kalala Mayele huku pia Aziz Ki na akina Jesus Moloko wakitegemewa kunogesha zaidi.
Je, Simba atakubali kuendelea kuwa mnyonge kwa Yanga?
Na vipi upande wa pili, ubingwa bila kumfunga mtani unaweza kunoga?
Mwamuzi wa mtanange huo ni mwanamama, Jonesia Rukya akisaidiwa na akina Janeth Balama pamoja na Mohamed Mkono.
Mechi ni saa 11:00 jioni na itakuwa live Azam Sports 1HD
Kwa live updates, utani wa hapa na pale na yote yanayohusu mechi hii basi hapa ndio sehemu sahihi kwako Mwana JF...
Mwanamuziki nguli wa Bongofleva, Lady Jay Dee aliwahi kuimba kibao maarufu " Siku hazigandi " alikuwa sahihi. Lile pambano lililokuwa linasubiriwa kwa hamu hatimae ndio linapigwa leo, ama kweli siku hazigandi.
Ndio ni Kariakoo Derby, ni Simba Sc Vs Yanga Sc katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar Es Salaam saa 11:00 jioni.
Mnyama mkubwa mwituni, Simba Sc itakuwa inawaalika wapinzani wao wa jadi Yanga, huku ikijaribu kupunguza pengo la point baina ya timu hizo mbili.
Yanga inaongoza ligi ikiwa na alama 68 huku Simba ikiwa na alama 60 hivyo kufanya tofauti kuwa alama 8 huku zikisalia mechi 5 kabla ya msimu kuisha.
Simba itashuka dimbani kujaribu kutafuta ushindi wake wa kwanza tangu ilivyofanya hivyo mara ya mwisho mwaka 2019. Ni mechi saba sasa Simba hajamfunga Yanga katika Ligi Kuu ya NBC.
Mechi ya mwisho walipokutana wababe hao, matokeo yalikuwa 1-1 kwa magoli ya Augustine Okrah kwa Simba na Aziz Ki kwa upande wa Yanga.
Simba itashuka dimbani huku ikimtegemea zaidi mshambuliaji wake aliyefomu , Jean Baleke ambaye kwasasa hakamatiki kwa fomu yake huku akina Chama, Ntibazonkiza na Mzamiru wakitegemewa kuleta chachu ya ushindi.
Kwa upande wa Yanga, watamtegemea zaidi Straika wao ambaye fomu yake imekuwa ikipanda na kushuka Fiston Kalala Mayele huku pia Aziz Ki na akina Jesus Moloko wakitegemewa kunogesha zaidi.
Je, Simba atakubali kuendelea kuwa mnyonge kwa Yanga?
Na vipi upande wa pili, ubingwa bila kumfunga mtani unaweza kunoga?
Mwamuzi wa mtanange huo ni mwanamama, Jonesia Rukya akisaidiwa na akina Janeth Balama pamoja na Mohamed Mkono.
Mechi ni saa 11:00 jioni na itakuwa live Azam Sports 1HD
Kwa live updates, utani wa hapa na pale na yote yanayohusu mechi hii basi hapa ndio sehemu sahihi kwako Mwana JF...
Lets Go Yanga! Wananchiiiiiii [emoji169][emoji172]
3:0
Mechi za Simba na Yanga huchezwa 24x7,siku 365 za mwakaWote hamna akili, mechi ya SAA 11 unaanzisha Uzi usiku kama siyo uchizi ni nini? huwa mnalipwa shingapi?
Ustadhi Rama FcTwende kaziView attachment 2589448
Ustadhi Rama fcTwende kaziView attachment 2589448
Wewe ndio hata mpira hujui, Chama kwa Yanga anacheza wapi?
Kocha kama siyo pressure za mbumbumbu hata namba hapati leo.
Hatimaye simba awa muumini wa upinde inasikitisha sana 😓😓😓😒😒😒
Huu uzi wako ulistahili kabisa kubaki. Hakuna sababu ya msingi kwa watu wote kulazimishwa kuchangia uzi mmoja.[emoji119]𝐔𝐳𝐢 𝐰𝐨𝐰𝐨𝐭𝐞 𝐮𝐭𝐚𝐤𝐚𝐨𝐩𝐢𝐭𝐢𝐬𝐡𝐰𝐚 𝐬𝐢𝐬𝐢 𝐭𝐮𝐭𝐚𝐭𝐞𝐦𝐛𝐞𝐚 𝐧𝐚𝐨 𝐭𝐮, 𝐡𝐚𝐢𝐧𝐚 𝐦𝐛𝐚𝐲𝐚 [emoji736]
Wewe jamaa huwa unajiona una akili sana kumbe hamnazo!!Wote hamna akili, mechi ya SAA 11 unaanzisha Uzi usiku kama siyo uchizi ni nini? huwa mnalipwa shingapi?