FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Kwa haya mabadiliko Simba wawe na utulivu mkubwa sana..

Vipi bado unazungumzia utulivu.?

Kijana punguzeni kukariri, Simba ni mkubwa kwa Yanga hata siku mkishinda mjue tu ni suala la game .

Mnaongea snaa . Mnapopita kwa sasa sisi tumeshapita
 
Reactions: Tui
Yanga points 68
Simba points 63

MAKOLO msijisahau kua msimu huu hatapata kombe lolote za hili la Leo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji172][emoji169]
Maiti inasemekana ametoa vipande viwili vya mavi baada ya kukamuliwa vilivyo.Vyura vya Kihansi vimebebwa na mafuriko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…