Von_Lufuta
JF-Expert Member
- Mar 19, 2023
- 1,528
- 3,641
Nipo naangalia Azam TV naona Simba wanakabidhiwa ndooSafi kabisa simba,shenzi hawa.
Mdomo ulizidi
Hahahahaha let it be manicaWe nae kuna muda unakua kama teja
Dakika 90 za mechi gani?Uyaseme haya dk 90 mkuu
Game plan yetu iligoma leo!Yanga kiungo kilitepeta,halafu tuliingia Kwa kujiamini
Duuuh !!Nabi mitano tena
Are u serious mkuu? Simba ni andadogi? π πHizi derby, underdog ndio huwa anaibuka mshindi. Wik end safi sana kwako π π
Nilikutahadhalisha lakini mapema swala la kupenda timu mbovu linavyoweza kuja kuku cost siku za mbeleniHaf Kuna mtu atasema huu mpira hauna Uchawi [emoji23][emoji23]
Wachezaji wa yanga kama viatu vina mawe *****
Nitampa mkeUtampa?
Usiwalaumu wametolewa mavi baada ya kukafiniwa.Hivyo lazima watukane.Lazima ni zombies.Game imeishaje nimekutana na kundi la watu wanatukana kama wehu..