FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Hebu angalia picha hii halafu toa maoni yako .

FB_IMG_1681662040949.jpg
 
Mabingwa wa tigopesa wa NBC premier league, Yanga, hawawezi kuishinda Simba inayoshiriki CAF champion
 
Utopolo hawaamini wanacho kiona kwa hiyo akina Bangala,Moroco na sureboy wamekuwa wabov
 
kwa ligi hatuna shida nako sana sasa macho yote kimataifa

ndani ya ligi hatuna wakujipima nae kabisa nafikiri mechi zinazofuata wapinzani wa onywe kutochezea wachezaji wetu vibaya kwani tuna majukumu kimataifa
 
Yanga wamecheza vizuri hasa kulingana na Hali ya uwanja, Magoli waliyofungwa ni Magoli ya nje ya uwanja, goli la kwanza haikua Kona na mshika kibendera alikua mita mmoja kutoka ulipo mpira.

Goli la pili Yanga wapigiana pass mbovu na Kupoteza mpira bila Sababu.
Zaidi ya yote hawakucheza vibaya ila matokeo Mabaya.
 
Back
Top Bottom