KotelaMamba
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 701
- 1,241
Mbona maneno tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira umeanza kushabikia lini wewe kolo/uto?Tupeni Kikosi
Weka hela sasa uone kama hujawalaza watoto wako njaaUkiona mpaka kanji amekukataa ujue unakufa kwa vyovyote vileView attachment 2589649
SawaUlishawahiwa na wahuni [emoji13][emoji13][emoji13] BTW umeandika vitu vya hovyo
🤣🤣🤣🤣🤣 mimi kolowani. 😀Mpira umeanza kushabikia lini wewe kolo/uto?
Vikosi huwa vinatoka lisaa limoja kabla ya mechi
Vikosi rasmi havijatokaTupeni Kikosi
Kuna mwamba kasema hapo juu ni One hour Before.Vikosi rasmi havijatoka
Mara paaap! tunapigwa.*** Familia ya bibi na bwana TFF inayo furaha kubwa kukualika/kuwaalika Bwn/ bib/ prof/ mch/ Mh/Dr/Bwn&bib................ Kwenye harusi ya kijana wao mpendwa SIMBA SPORT CLUB Anaetarajia kufunga ndoa na binti mrembo YANGA Harusi itafanyika siku ya juma pili tarehe 16/04/2023 katika ukumbi wa BENJAMIN MKAPA Jumapili Ndo Hiyo leo Kitawaka kuanzia saa 11:00 jioni hvy ukiwa kama ndugu na jamaa unaombwa kufika bila kukosa ukipata mwariko huu mjurishe na mwenzio
Yeah ni kweli, poleniKuna mwamba kasema hapo juu ni One hour Before.
Sisi Simba tunauoga mwingi ila sijui itakuwaje. anyway 4hours and 37 minutes to go.
Pole ya nini?Yeah ni kweli, poleni
Karibu uwanjaniPole ya nini?
Mpira ni mpira.
Nyie Yanga mnajiamini sana, let see it hiyo baadae