Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuone!Ndio kwanza dakika ya 13... Hii game wananchi tunaondoka na points tatu.
[emoji1787] Tupo hapaaa shida mlitudharau sanaaa
Ile angekuw chama pale ni golBaleke aache uchoyo
Tupo hapaaa [emoji1787]Sio mie bana labda wengine. Mie nilisema Simba 1 vs Yanga 4 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asubuhi tuIle angekuw chama pale ni gol
Ngoja nifuatilie kupitia hapa jf tu bossGemu ya Simba na Yanga nzuri kuisikiliza redioni...au uwe uwanjani jukwaani
Huyu jamaa huwa na hekaheka nyingi zisizozaa matunda yoyote.Saido anazingua
Aingie Mayele sasa
Ngoja uoneAnza kabisa kufungua ID.
🤣🤣🤣🤣❤️Ahsanteni sana Dada ake Inonga