FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Tulipojaribu kuzungumzia swala la hali ya hewa, sio wewe uliyesema wana Simba Sc tusilete vizingizio vya mvua?

Inakuwaje sasa dakika ya 11 tu umeshaanza kuingia kwenye mfumo? TULIA.
Katika mechi ambayo sina wasiwasi nayo ni hii, mvua huwa inaharibu Burudani ya mpira.

Issue siyo timu kushinda tu tunataka kupata Burudani na kuona viwango.
 
Back
Top Bottom