FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Chama ni Zidane mtupuuuuuu
4E0560AC-9981-4A3D-A3D5-9688DB829E07.jpeg
 
Wasiwasi wa nini? Siku zite Simba Sc huwa inashinda pale tu inapokutana na team ndogo[emoji1].
Wewe umeanza ushabiki juzi tu huna ulijuwalo.

Timu bora inaweza kupata matokeo Mabaya kwenye mechi, hata mchezaji mzuri anaweza asiwe na siku nzuri kwenye mechi, hivi vitu vipi kwenye soka.

Kwa kwakutulia angalia plan ya Nabi second half inakuwaje.
 
Back
Top Bottom