FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Robertinho alimuamini Kibu tangu mwanzo, baada ya kumtengeneza ameanza kupunguza zile papara zake na siku zijazo atakua bonge la mchezaji.

Dah ila huyu Ally Salum ni habari nyingine, Manula ajipange haswa...

Kakolanya ajiendee tu kwa wastaafu Singida Big Stars
 
Wameanza hawa jamaa.
Mambop ya kizamani tusirudi tena kwemye mambo ya ovyo.
Kufungwa, kushinda au sare vyote vipo kwenye mchezo wa soka. Tuangalie mechi ijayo hii imepita.
Sasa hivi waswahili wote Dawa yao bakora tu.

Watu wanawekeza mabilioni kwenye timu wao kazi yao kuchonga mdomo tu.
 
Maiti kakafiniwa kakutwa na ngama 2.Wamekamua mpaka imetoa maji.
 
Nabi ana matatizo makubwa kwenye ufundishaji wake. System yake ikifeli haina mbadala. Huu uchezaji wa pass nyingi na nyingi zikiwa ni back pass hauna maana, huwa anacheza kama mchezo ni siku nzima. Simba waneizidi Yanga kwenye mambo mawili tu, precision na aggression.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
acheni kumlaumu leo haikuwa siku yetu
 
Tunakata bikira kwa mara pili,
Kuna falsafa moja walianza kuja nayo ilikuwa inaniboa kishenzi

Eti Yanga ndio timu ya pekee ambayo kwenye michezo 25 walifunga goli kila mechi.

Hii nayo walitaka waanze kuipigia kampeni kama walivyofanya kwenye ile unbeaten yao.

Sasa tume reset kila kitu to default waanze upya mahesabu yao
 
Yanga points 68
Simba points 63

MAKOLO msijisahau kua msimu huu hatapata kombe lolote za hili la Leo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji172][emoji169]
Kombe la kazi gani? Hela yenyewe kiduchu. Sisi lengo letu kwenye ligi ni kupata nafasi ya kushiriki caf champions league kwenye pesa ya kueleweka!! Uliza pesa ambazo wekundu wa msimbazi watapata kwa kuibgia robo fainali!! Jibu utakalopata litakusaidia kujua kwa nini Simba haina presha na kombe hili la bongo zaidi ya kusaka nafasi ya kushiriki caf champions league ambayo tayari tumeipata!
 
Wanaenda wapi tena watulie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Wengine wanakaa hapa hapa kwenye kota za uwanja lakini sijui walikuwa wanaharakia nini kuwahi mapema.

Halafu mostly ndio wale ambao walikuwa wasumbufu kwenye foleni ya kuingia ndani, mpaka nikawa najiuliza kuna kitu gani wanakiwahi.

Kumbe walichokiwa wanakiwahi walikipata mapema na ndio maana hawakusubiri mpaka mpira uishe
 
Back
Top Bottom