FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Wewe umeanza ushabiki juzi tu huna ulijuwalo.

Timu bora inaweza kupata matokeo Mabaya kwenye mechi, hata mchezaji mzuri anaweza asiwe na siku nzuri kwenye mechi, hivi vitu vipi kwenye soka.

Kwa kwakutulia angalia plan ya Nabi second half inakuwaje.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo wee unaongea hivii?? Makubwaaaaaah
 
Goli la kwanza limetutoa mchezoni hata structure ya shape kuanzia defence mpaka middle zimevuruguka na ndio maana goli la pili kaunta,hata nafasi alizo kosa Beleke zote ni kaunta. Simba alistahili kuongoza kwa nne bila first half ila ndio hivyo naona leo Beleke hana zali.

Ngoja tuone kipindi cha pili, ila Yanga wanahitaji kutulia tu na si vinginevyo na kustay in shape kwa ajili ya kuzuia kaunta.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo mtasemaa yoteeee.
Tena mmalizee ya moyoni, muwe na amani.
 
Wallah tena! Wananchi leo tumepatikana. Hali tete.

Yaani asipoingia Ibrahim Bacca, na viungo wanyumbulifu pale kati; leo tutapigwa nyingi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani mie sitakiiiiiiii
Kwan kuna nn???
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo mtasemaa yoteeee.
Tena mmalizee ya moyoni, muwe na amani.
Nishasahau mpira wenu nipo US nawatizama Playoffs Lakers vs Mephis.
 
Kwingineko duniani:

Arsenal wameanza kukata moto kwenye safari ya ubingwa, Mancity wanafukuza mwizi kimyakimya.
Simba na man city zinanipaaa burudaaniii mie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] letaa manenoooo, letaaa manenooooo, yaan wee na badooooo utaliaa sanaaa.
Wataweweseka leo.Viwili paaap. Mbinuko hoyeee.
 
Mnyama mkali akiunguruma vyura wote mafichoni
 
Dah! Wananchi tumeloa ndembendembe! Ngoja tusubiri haya mabadiliko kama yataleta tija. Ila kipindi cha kwanza viungo wa kati wamecheza nyoronyoro sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila nimekuja gundua wanaume huwa hampendi kelele za wanawake, (ukiacha zile nyingine)[emoji2960]

Kuna mama yupo nyuma yangu hapa ana makelele machine ikasome, wana wanageuka wanamtazama kwa mshangao kisha wanarudi zao mbele..!![emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom