FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Mganga kawadanganya
 
Simba na man city zinanipaaa burudaaniii mie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kweli hebuu nipangie kikosi cha ManCity kwanza 😂😂😂😂
 
 
Nashauri huyu kipa number tatu wa Simba awe na number moja ni mzuri kuliko Aishi manula,manula angedaka Leo Simba ingekuwa ishachakazwa
Hata mie naonaaa, huyu Salim awe anaanza kwenye Lango. Anatufaaaa sanaaaa.
 
Simba nao wanastahili furaha, huyu Mungu ni wetu sote.

Tujipange Nigeria ndio mechi ngumu sana na timu inatakiwa I focus mechi hiyo, hii shughuri imeisha tumedrop point tatu.

Msimu huu Yanga imedrop kwa timu dhaifu tupu, Ihefu na Simba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km chiziiiiii
 
Nilikuwa nasubia kitu angemfanyia Mayele mwishoni[emoji1787][emoji1787]
Nilitamani amsindikize na kuchapaa makofi, sema kaamua kupotezeaa, uliona Aziz ki alikimbilia ndani kwa aibu afu harakaaaa, baafa ya mpira kuisha, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Robertinho alimuamini Kibu tangu mwanzo, baada ya kumtengeneza ameanza kupunguza zile papara zake na siku zijazo atakua bonge la mchezaji.

Dah ila huyu Ally Salum ni habari nyingine, Manula ajipange haswa...
Manura asianze kumpiga msumari salim, wote wawe motoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanga kuna weakness mahala, haiwezekani, kuna hujuma ndani kwa ndani, kikao cha dharura haraka sana, hujuma zote ziangaliwe, kama kuna mchezaji au wachezaji wamehongwa au referee au hujuma yoyote lazima uongozi iangalie upya haraka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mshaanzaa mapema yotee hii.
 
Back
Top Bottom