cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Thubutuuuuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii mechi itaisha draw
Mnakuwa wageni wa mechi ya simba na yanga
Game itaishia draw tu
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thubutuuuuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii mechi itaisha draw
Mnakuwa wageni wa mechi ya simba na yanga
Game itaishia draw tu
Ova
Sio kweli hebuu nipangie kikosi cha ManCity kwanza 😂😂😂😂Simba na man city zinanipaaa burudaaniii mie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani bibi kwann lakiniii???Dah leo Simba wanafuturu vyura.
Draw ya kabati au draw ya kuchukua hela?Hii mechi itaisha draw
Mnakuwa wageni wa mechi ya simba na yanga
Game itaishia draw tu
Ova
Kwa hisani ya Kibu DView attachment 2590350
Kibu Denga effect
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Manara kashangilia magoli yote akiwa chooni na sigara yake mdomoni
😅😅😅😅 kwa muungurumoo huu vyura lazima wafunge domoMnyama mkali akiunguruma vyura wote mafichoni
View attachment 2590400
Hata mie naonaaa, huyu Salim awe anaanza kwenye Lango. Anatufaaaa sanaaaa.Nashauri huyu kipa number tatu wa Simba awe na number moja ni mzuri kuliko Aishi manula,manula angedaka Leo Simba ingekuwa ishachakazwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km chiziiiiiiSimba nao wanastahili furaha, huyu Mungu ni wetu sote.
Tujipange Nigeria ndio mechi ngumu sana na timu inatakiwa I focus mechi hiyo, hii shughuri imeisha tumedrop point tatu.
Msimu huu Yanga imedrop kwa timu dhaifu tupu, Ihefu na Simba.
Yes kabisaHata mie naonaaa, huyu Salim awe anaanza kwenye Lango. Anatufaaaa sanaaaa.
Tunawabondaaa km kawaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oke Hongereni wanasimba [emoji1666][emoji2]
Tukutane Fainali ya FA
[emoji169][emoji172]
Leo ndio siku ya kutowa yote.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km chiziiiiii
Nilitamani amsindikize na kuchapaa makofi, sema kaamua kupotezeaa, uliona Aziz ki alikimbilia ndani kwa aibu afu harakaaaa, baafa ya mpira kuisha, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa nasubia kitu angemfanyia Mayele mwishoni[emoji1787][emoji1787]
Manura asianze kumpiga msumari salim, wote wawe motoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Robertinho alimuamini Kibu tangu mwanzo, baada ya kumtengeneza ameanza kupunguza zile papara zake na siku zijazo atakua bonge la mchezaji.
Dah ila huyu Ally Salum ni habari nyingine, Manula ajipange haswa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mshaanzaa mapema yotee hii.Yanga kuna weakness mahala, haiwezekani, kuna hujuma ndani kwa ndani, kikao cha dharura haraka sana, hujuma zote ziangaliwe, kama kuna mchezaji au wachezaji wamehongwa au referee au hujuma yoyote lazima uongozi iangalie upya haraka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shikamoo Kibuuu,matako Yako ulitaka kutuulia kipa wetuuuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumelowa tumelowaa
Tumenyeshewaa mvuaaa ..
Noma sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi hata nyumbani siendi leo. Nitaenda kesho namsaidia meneja wa uwanja kufanya usafi uwanjani